Makala hii inahusu mwaka 1993 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
bila tarehe
Waliofariki
- 6 Januari - Dizzy Gillespie, mwanamuziki kutoka Marekani
- 11 Februari - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 20 Machi - Polykarp Kusch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955
- 24 Machi – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 11 Aprili - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 13 Aprili – Wallace Stegner, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972
- 18 Aprili - Masahiko Kimura, mwanariadha kutoka Japani
- 24 Aprili - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 19 Juni - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983
- 31 Oktoba - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1 Novemba - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 7 Desemba - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: