Makala hii inahusu mwaka 1996 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 28 Januari - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987
- 18 Machi - Odysseas Elytis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1979
- 11 Mei - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
- 6 Juni - George Snell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 15 Juni - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike Mmarekani wa Jazz
- 22 Julai – Vermont Royster, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1953
- 1 Agosti - Tadeus Reichstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 8 Agosti - Nevill Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 9 Agosti - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani alijiua
- 26 Agosti - Sven Stolpe, mwandishi kutoka Uswidi
- 13 Septemba - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 17 Septemba - Spiro Agnew, Kaimu Rais wa Marekani
- 26 Septemba - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 3 Novemba - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-1976) na Kaisari (1976-1979) wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 21 Novemba - Abdus Salam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 23 Novemba - Mohamed Amin, mpiga picha kutoka Kenya
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: