Makala hii inahusu mwaka 1972 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 7 Februari - Essence Atkins, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Februari - Keith Ferguson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 24 Machi - Tony Leondis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Aprili - Tracy K. Smith, mshairi kutoka Marekani
- 25 Aprili - Pascal Joy Migisha, mwinjilisti wa Kipentekoste kutoka Burundi
- 9 Mei - AZ, mwanamuziki kutoka Marekani
- 13 Mei - Giovanni Tedesco, mchezaji mpira wa Italia
- 21 Mei - The Notorious B.I.G., mwanamuziki kutoka Marekani
- 2 Juni - Wentworth Miller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 6 Juni - Peter Joseph Serukamba, mwanasiasa wa tanzania
- 7 Juni - Karl Urban, mwigizaji wa filamu kutoka New Zealand
- 7 Agosti - Karen Disher, msanii wa kuchora kwa filamu kutoka Marekani
- 23 Septemba - Jermaine Dupri, mwanamuziki kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Eminem, mwanamuziki kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Wyclef Jean, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Oktoba - Pras, mwanamuziki kutoka Marekani
- 14 Novemba - Josh Duhamel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Desemba - Marc Silk, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
bila tarehe
Waliofariki
- 7 Januari - John Berryman, mshairi kutoka Marekani
- 5 Februari - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani
- 20 Februari - Maria Goeppert-Mayer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 7 Aprili - Abedi Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar (alipigwa risasi)
- 16 Aprili - Yasunari Kawabata, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968
- 27 Aprili - Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana
- 4 Mei - Edward Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 11 Agosti - Max Theiler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951
- 10 Desemba - Mark Van Doren, mshairi na profesa kutoka Marekani
- 26 Desemba - Harry S. Truman, Rais wa Marekani (1945-1953)
- 27 Desemba - Lester Pearson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1957, na Waziri mkuu wa Kanada (1963-1968)
bila tarehe
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|