Makala hii inahusu mwaka 1991 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 11 Januari - Carl David Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 30 Januari - John Bardeen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972
- 6 Februari - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 12 Machi - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 12 Aprili - James Schuyler, mshairi kutoka Marekani
- 26 Aprili – Alfred Bertram Guthrie, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1950
- 8 Mei - Joseph Kramm, mwandishi kutoka Marekani
- 5 Julai - Howard Nemerov, mshairi kutoka Marekani
- 24 Julai - Isaac Bashevis Singer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1978
- 9 Agosti - Michał Tomaszek, mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 9 Agosti - Zbigniew Strzałkowski, mfiadini kutoka Poland aliyeuawa nchini Peru
- 7 Septemba - Edwin McMillan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 24 Septemba - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss, mwandishi Mmarekani kwa watoto)
- 25 Septemba - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 28 Septemba - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 23 Novemba - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 28 Desemba - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia
bila tarehe
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: