11 Aprili
Tarehe 11 Aprili ni siku ya 101 ya mwaka (ya 102 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 264. MatukioWaliozaliwa
Waliofariki
SikukuuWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani, Elena Guerra n.k. Viungo vya nje
|