Makala hii inahusu mwaka 2003 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 27 Machi - Paul Zindel, mwandishi kutoka Marekani
- 6 Aprili - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 20 Aprili - Bernard Katz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 26 Aprili - Yun Hyon-seok, mwandishi kutoka Korea Kusini
- 28 Mei - Ilya Prigogine, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1977
- 30 Juni - Buddy Hackett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Julai - Carol Shields, mwandishi kutoka Marekani
- 22 Julai - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya
- 4 Agosti - Frederick Robbins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 30 Agosti - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 3 Septemba - Alan Dugan, mshairi kutoka Marekani
- 12 Septemba - Johnny Cash, mwanamuziki kutoka Marekani
- 13 Oktoba - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 20 Oktoba - Jack Elam, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: