Makala hii inahusu mwaka 1997 BK (Baada ya Kristo).
Waliozaliwa
Waliofariki
- 8 Januari - Melvin Calvin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961
- 10 Januari - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957
- 12 Januari - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 7 Machi - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 9 Machi - The Notorious B.I.G., mwanamuziki kutoka Marekani
- 12 Aprili - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 2 Mei - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 22 Mei - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 8 Juni - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 2 Agosti - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 23 Agosti - John Kendrew, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962
- 5 Septemba - Mtakatifu Mama Teresa wa Kolkata (Agnes Bojaxhiu), mtawa wa India mwenye asili ya Kialbania
- 7 Septemba - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 16 Oktoba - James Michener, mwandishi wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1948
- 10 Novemba - Tommy Tedesco, mwanamuziki kutoka Marekani
- 25 Novemba - Hastings Kamuzu Banda, rais wa Malawi (1966-1994)
- 8 Desemba - Laurean Rugambwa, Askofu mkuu wa Dar es Salaam (Tanzania), Kardinali wa kwanza kutoka Kusini kwa Sahara
- 24 Desemba - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: