24 Machi
Tarehe 24 Machi ni siku ya 83 ya mwaka (ya 84 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 282. MatukioWaliozaliwa
Waliofariki
SikukuuWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Timolai na wenzake, Sekundulo, Mac Cairthinn wa Clogher, Severo wa Catania, Katarina wa Uswidi, Oscar Romero n.k. Viungo vya nje
|