Wolfgang PaulWolfgang Paul (10 Agosti 1913 – 7 Desemba 1993) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1989, pamoja na Hans Georg Dehmelt na Norman Ramsey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
|