Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

 

Federico Fellini

Federico Fellini.

Federico Fellini (Rimini, 20 Januari 1920 - Roma, 31 Oktoba 1993) alikuwa mtayarishaji na mwongozaji wa filamu wa Italia.

Filamu za Fellini zilikuwa zikihusu mambo ya ukumbusho, ndoto na fantasia au uzushi-vichekesho.

Filamu za Federico Fellini

  • Luci del varietà (1950)
  • Lo Sceicco Bianco (1951)
  • I Vitelloni (1953)
  • La Strada (1954) Oscar (filamu bora ya kigeni)
  • Le Notti di Cabiria (1957) Oscar (filamu bora ya kigeni)
  • La Dolce Vita (1960) Oscar (filamu bora)
  • 8 1/2 (1963) 2 Oscar (filamu bora ya kigeni)
  • Giulietta degli Spiriti (1965)
  • Satyricon (1969)
  • I Clowns (1970)
  • Roma (1972)
  • Amarcord (1973) Oscar (filamu bora)
  • Casanova (1976)
  • Prova d'Orchestra (1979)
  • La Citta' delle Donne (1980)
  • E la nave va (1983)
  • Ginger and Fred (1986)
  • Intervista (1987)

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Federico Fellini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Kembali kehalaman sebelumnya