Tarehe 2 Oktoba ni siku ya 275 ya mwaka (ya 276 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 90.
Matukio
Waliozaliwa
1538 - Mtakatifu Karoli Borromeo , askofu mkuu wa Milano
1852 - William Ramsay , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
1869 - Mahatma Gandhi , mwanasheria , mwanafalsafa na mwanaharakati nchini Uhindi
1871 - Cordell Hull , mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1945
1879 - Wallace Stevens , mshairi kutoka Marekani
1907 - Alexander Todd , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1957
1917 - Christian de Duve , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
1933 - John Gurdon , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
1962 - Jeff Bennett , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1989 - Diamond Platnumz , mwanamuziki kutoka Tanzania
1993 - Simon Msuva , mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Malaika walinzi , Eleuteri wa Nikomedia , Saturi , Leodegari na Jerini , Beregisi , Ursichini wa Chur , Theofilo wa Bulgaria n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 2 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .