7 Desemba
Tarehe 7 Desemba ni siku ya 341 ya mwaka (ya 342 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 24. Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
SikukuuWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ambrosi, Sabino wa Spoleto, Atenodoro, Urbano wa Teano, Yohane Mnyamavu, Fara, Charles Garnier, Maria Yosefa Rossello n.k. Viungo vya nje
|