18 Aprili
Tarehe 18 Aprili ni siku ya 108 ya mwaka (ya 109 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 257. MatukioWaliozaliwa
Waliofariki
SikukuuWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Ermogene na Elpidi, Pusisi, Eusebi wa Fano, Molaise, Ursmari, Antusa wa Konstantinopoli, Atanasia wa Egina, Yohane Isauro, Perfekto, Galdino wa Sala n.k. Viungo vya nje
|