1 Wakurdi hutumiaEy Reqîb.
2 Arbil ni mju mkuu wa jimbo la kujitawala la Kurdistan. 3 Lugha rasmi za serikali kitaifa ni Kiarabu na Kikurdi. Kikurdi ni lugha rasmi ya jimbo la Kurdistan. Kikatiba lugha za Kiassiryani na Kiturkmeni ni lugha rasmi kieneo penye wasemaji wengi wa lugha hizi.
Iraq (kwa Kiarabu العراق, al-ʿIrāq) ni nchi ya Asia ya Magharibi inayokaliwa hasa na Waarabu (75-80%) lakini pia na wengine, hasa Wakurdi 15%).
Lugha rasmi na ya kwanza ni Kiarabu, ikifuatwa na Kikurdi ambayo pia imekuwa lugha rasmi, halafu lugha nyingine za jamii mbalimbali ambazo pengine zinatambulika kieneo.
Iraq ina akiba kubwa za mafuta ya petroliardhini. Mapato kutokana na mafuta yalileta maendeleo makubwa nchini hadi mwanzo wa kipindi cha vita vilivyoharibu sana nchi pamoja na uchumi wake.
"Iraqi Constitution"(PDF). Ministry of Interior – General Directorate For Nationality. 2006-01-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(PDF) mnamo 2016-11-28. Iliwekwa mnamo 18 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Benjamin Busch, "'Today is Better than Tomorrow'. A Marine returns to a divided Iraq", Harper's Magazine, October 2014, pp. 29–44.
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iraq kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.