UsoUso ni sehemu ya mwili inayoweza kumtambulisha zaidi mtu au mnyama. Kwa kawaida uso hupatikana sehemu ya mbele ya kichwa cha mnyama au wanadamu; ingawa si wanyama wote wanaoona, uso ni muhimu kwa utambulisho wa kibinadamu.
|