Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya ni aina moja ya Tuzo za Pulitzer ambazo hutolewa kila mwaka nchini Marekani. Ni miongoni mwa aina za asili zilizotolewa kuanzia 1917, na hutolewa kumheshimu mwandishi Mwarekani aliyeandika tamthiliya hodari katika mwaka uliopita.
Kuanzia 1983, wagombea watatu wa mwisho walikuwa hutangazwa, yaani mshindi mkuu pamoja na mshindi wa pili na wa tatu.
Washindi
Katika miaka 97 hadi 2013, Tuzo ya Tamthiliya ilitolewa mara 82; hakuwa na tuzo katika miaka kumi na mitano. Waandishi mbalimbali wametuzwa Tuzo hiyo zaidi ya mara moja:
- Eugene O'Neill, 1920, 1922, 1928 na 1957
- George S. Kaufman, 1932 na 1937 (pamoja na watungaji wengine)
- Robert E. Sherwood, 1936, 1939 na 1941
- Thornton Wilder, 1938 na 1943
- Tennessee Williams, 1948 na 1955
- Edward Albee, 1967, 1975 na 1994
- August Wilson, 1987 na 1990
Miaka ya 1910
Miaka ya 1920
Miaka ya 1930
Miaka ya 1940
Miaka ya 1950
Miaka ya 1960
Miaka ya 1970
Miaka ya 1980
Miaka ya 1990
Miaka ya 2000
Miaka ya 2010