Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Plato wa Ankara

Plato wa Ankara (alifariki Ankara, Galatia, katika Uturuki ya leo, mwishoni mwa karne ya 3 au mwanzoni mwa karne ya 4) alikuwa kijana Mkristo aliyemtangaza sana Yesu akapata kufia dini yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano kwa kukatwa kichwa [1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Kembali kehalaman sebelumnya