MajiranuktaMajiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba. Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya nukta katika ubapa. Nafasi zote zinapangwa kwa njia ya majira (majiranukta) 2 yanaoitwa
Majiranukta hupatikana kwa kueleza mistari miwili sulubi, moja ukipita kwenye jira-y na mwingine kwenye jira-x. Inapokutana ni nafasi ya nukta inayoelezwa. Majiranukta kama anwani ya kijiografiaMfumo wa majiranukta hutumiwa kutaja mahali duniani kwa kutumia longitudo na latitudo. Tazama pia
|