Lugha za Kihindi-Kiulaya ni jamii ya lugha iliyo kubwa kuliko zote duniani. Imekadiriwa kuna lugha hai 445 za jamii hiyo na wasemaji bilioni 3.2 katika mabara yote (46% za watu wote wa leo).
Lugha za jamii ya Kihindi-Kiulaya zinafanana katika msamiati na sarufi.
Nadharia ya asili na usambazaji
Inaaminika ya kwamba lugha hizo zilikuwa na asili moja katika lugha isiyojulikana tena ya Kihindi-Kiulaya asilia.
Wasemaji wake wanaaminiwa kuwa walisambaa takriban miaka 6,000 iliyopita kutoka sehemu za Asia ya Magharibi. Sehemu ilikwenda magharibi na kuingia Ulaya, sehemu nyingine ilikwenda Uajemi na Bara Hindi.
Auroux, Sylvain (2000). History of the Language Sciences. Berlin: Walter de Gruyter. ISBN978-3-11-016735-1.
Fortson, Benjamin W. (2004). Indo-European Language and Culture: An Introduction. Malden, Massachusetts: Blackwell. ISBN978-1-4051-0315-2.
Houwink ten Cate, H.J.; Melchert, H. Craig; van den Hout, Theo P.J. (1981). "Indo-European languages, The parent language, Laryngeal theory". Encyclopædia Britannica. Juz. la 22 (tol. la 15th). Chicago: Helen Hemingway Benton.
Holm, Hans J. (2008). "The Distribution of Data in Word Lists and its Impact on the Subgrouping of Languages". Katika Preisach, Christine; Burkhardt, Hans; Schmidt-Thieme, Lars; na wenz. (whr.). Data Analysis, Machine Learning, and Applications. Proceedings of the 31st Annual Conference of the German Classification Society (GfKl), University of Freiburg, March 7–9, 2007. Heidelberg-Berlin: Springer-Verlag. ISBN978-3-540-78239-1.
Kortlandt, Frederik (1988). "The Thraco-Armenian consonant shift". Linguistique Balkanique. 31: 71–74.
Lane, George S.; Adams, Douglas Q. (1981). "The Tocharian problem". Encyclopædia Britannica. Juz. la 22 (tol. la 15th). Chicago: Helen Hemingway Benton.
Renfrew, C. (2001). "The Anatolian origins of Proto-Indo-European and the autochthony of the Hittites". Katika Drews, R. (mhr.). Greater Anatolia and the Indo-Hittite language family. Washington, DC: Institute for the Study of Man. ISBN978-0-941694-77-3.
Porzig, Walter (1954). Die Gliederung des indogermanischen Sprachgebiets. Heidelberg: Carl Winter Universitätsverlag.
Brugmann, Karl (1886). Grundriss der Vergleichenden Grammatik der indogermanischen Sprachen (kwa Kijerumani). Juz. la Erster Band. Strassburg: Karl J. Trübner.
Remys, Edmund, General distinguishing features of various Indo-European languages and their relationship to Lithuanian. Berlin, New York: Indogermanische Forschungen, Vol. 112, 2007.
Dyen, Isidore; Kruskal, Joseph; Black, Paul (1997). "Comparative Indo-European". wordgumbo. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Indo-European". LLOW Languages of the World. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-10. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Indo-European Etymological Dictionary (IEED)". Leiden, Netherlands: Department of Comparative Indo-European Linguistics, Leiden University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 14 Desemba 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Indo-European Roots Index". The American Heritage Dictionary of the English Language (tol. la Fourth). Internet Archive: Wayback Machine. Agosti 22, 2008 [2000]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 17, 2009. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2009.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Köbler, Gerhard (2014). Indogermanisches Wörterbuch (kwa Kijerumani) (tol. la 5th). Gerhard Köbler. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2015.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)