ChupaChupa ni chombo chembamba na kirefu kilichotengenezwa kwa kioo (siku hizi plastiki pia) ambacho hutumiwa kuwekea kimiminika. Kwa kawaida, chupa za bia hutengenezwa kwa kioo, na vinywaji visivyo na kileo hutengenezwa kwa plastiki.
|